Tafadhali bofya kwenye Akaunti Yangu, weka anwani yako ya barua pepe na nenosiri ulilotumia ulipofungua akaunti yako na ubofye ‘Ingia Sasa’.
Ikiwa huwezi kukumbuka nenosiri lako, bofya ‘Nenosiri limesahaulika’ kisha ufuate maelekezo yaliyotolewa.
Tutatuma kiunganishi kwenye anwani yako ya barua pepe iliyosajiliwa ili uweze kubadilisha nenosiri lako.
Ukikosea kuweka nenosiri lako mara 3, utaombwa kuweka msimbo wa kipekee unaooneshwa kwenye skrini yako ili uendelee.
Tafadhali kumbuka: Ikiwa hujaweka agizo ndani ya miezi 15 iliyopita, utahitajika kufungua akaunti mpya.